Wi-Fi za Bure: Rafiki au Adui wa Taarifa Zako?

Usalama wa Wi-Fi za Bure | Hatari na Namna ya Kujilinda Tambua faida na hatari za kutumia Wi-Fi za bure na jinsi unavyoweza kulinda taarifa zako binafsi dhidi ya udukuzi.π Wi-Fi za bure ni kivutio kikubwa kwa watu wengi. Katika migahawa au maduka makubwa, kila mtu hutamani kuunganishwa bila kulipia. Hata hivyo, unapaswa kufahamu kuwa public Wi-Fi ni hatari kubwa kwa taarifa zako binafsi. Wahalifu wa mtandaoni hutumia mbinu kama man-in-the-middle attacks kunasa mawasiliano yako, ikiwa ni pamoja na nywila, namba za kadi za benki au barua pepe zako. Kwa hivyo, kila unapounganishwa kwenye Wi-Fi ya bure, kumbuka unahatarisha usalama wako. Njia bora ya kujilinda ni kutumia VPN (Virtual Private Network) , ambayo π«π«π«π«π«π«huficha taarifa zako na kuzilinda dhidi ya udukuzi. Epuka pia kufanya miamala ya kifedha au kuingia kwenye akaunti nyeti ukiwa kwenye mtandao wa bure. tembelea wovuti: Best VPN Kwa kifupi, Wi-Fi ya bure inaweza kuwa rafiki wa intaneti isiyo na gharama , l...