Posts

Showing posts with the label data salama kwenye cloud

Jinsi ya kufanya Back up kwa Taarifa Muhimu

Image
  Jinsi ya kufanya back up taarifa zako muhimu  💧 chagua taarifa muhimu huwezi kufanya back up kila kitu kwa hiyo chagua data zako ambazo ni vigumu kupata tena zikipotea mfano picha,nyaraka na nyinginezo. 💧 weka ratiba ya  kufanya back up   kwa kutegemea na matumizi yako  unafanya back up kwa kila siku, wiki,mwezi,na mara kwa mara . 💧 chagua njia inayofaa unaweza tumia njia ya mtandao(cloud) kama Google drive, au Onedrive au vihifadhi data kawaida yaani flash,simu au kompyuta kwa mfano google back up au icloud settings au app nyingine 💧 fanya majaribio kwa  kufanya back up kwa data zako kuhakiki na  kuthibitisha mfumo uko vizuri mfano kufanya back up ya whatsapp chats, na picha zako za mda mrefu "linda data zako kabla hazijapotea" 📤 Angalia post ya kwanza kuhusu umuhimu wa Data back up hapa 👇 umuhimu-data-back-up 🌟  Usisahau! 💬 Toa maoni yako hapo chini –  comment  ni muhimu sana! 👣 Bofya  follow  ili usipitwe na ma...

umuhimu wa 'Data back up ' kwa taarifa zako

  Jifunze umuhimu wa data backup na namna ya kulinda taarifa zako muhimu kupitia simu, kompyuta na cloud storage kwa usalama zaidi.” Data Back-up ni nakala ya data ambayo umeweka mahali tofauti ili uweze kurejesha endapo itapotea au kuharibika.mfano wa data ni picha video, hati muhimu na taarifa za kifedha au biashara. umuhimu wa data backup/cloud storage Faida za back-up ni nyingi na hizi ni baadhi ya faida zake. 👉Usalama wa Data Sehemu muhimu zaidi ya data backup na data recovery ni usalama. Umuhimu wa kuwa na suluhisho la backup na kurejesha data lenye usalama wa uhakika ni mkubwa. 👉Usimamizi Rahisi wa Data Kurejesha data bila mfumo sahihi ni mchakato unaochosha na unaotumia muda mwingi. Lakini kwa kutumia programu sahihi ya backup , mchakato huu unakuwa rahisi. Mfumo thabiti wa backup hurahisisha kuhifadhi data mara kwa mara na kwa uendelevu. 👉Udhibiti wa Gharama Kupoteza data muhimu kunaweza kuua biashara. Kupoteza taarifa za wateja kunaweza kupelekea kesi za kishe...

Cloud Computing: Je, Data Zako Ziko Salama Kwenye Wingu?

Image
 Usalama wa Data Kwenye Cloud Computing | Mwongozo wa Watumiaji🌐 Fahamu changamoto na faida za kuhifadhi data kwenye cloud, na hatua za kuchukua ili kuhakikisha taarifa zako zinabaki salama.👇 Cloud computing imebadilisha namna tunavyohifadhi taarifa. Badala ya kutumia flash disk au hard disk, sasa tunaweza kuhifadhi data kwenye wingu (cloud) na kuzipata popote pale. Lakini je, data zako ziko salama kweli? Kampuni kubwa kama Google Drive, Dropbox na OneDrive hutoa huduma za cloud storage kwa urahisi na gharama nafuu. Hata hivyo, kumekuwa na wasiwasi kuhusu usalama wa data . Hii ni kwa sababu ikiwa akaunti yako itadukuliwa, data zako zote zinaweza kuibiwa au kufutwa. Njia bora ya kujilinda ni kutumia nywila imara, kuweka two-factor authentication , na kuhakikisha unachagua watoa huduma wanaotumia data encryption . Pia, hakikisha unahifadhi nakala (backup) ya nyaraka muhimu kwenye kifaa chako. Rejea hapa 👉  Nywila imara na salama Cloud computing ni teknolojia yenye faida k...