Jinsi ya kufanya Back up kwa Taarifa Muhimu
Jinsi ya kufanya back up taarifa zako muhimu 💧 chagua taarifa muhimu huwezi kufanya back up kila kitu kwa hiyo chagua data zako ambazo ni vigumu kupata tena zikipotea mfano picha,nyaraka na nyinginezo. 💧 weka ratiba ya kufanya back up kwa kutegemea na matumizi yako unafanya back up kwa kila siku, wiki,mwezi,na mara kwa mara . 💧 chagua njia inayofaa unaweza tumia njia ya mtandao(cloud) kama Google drive, au Onedrive au vihifadhi data kawaida yaani flash,simu au kompyuta kwa mfano google back up au icloud settings au app nyingine 💧 fanya majaribio kwa kufanya back up kwa data zako kuhakiki na kuthibitisha mfumo uko vizuri mfano kufanya back up ya whatsapp chats, na picha zako za mda mrefu "linda data zako kabla hazijapotea" 📤 Angalia post ya kwanza kuhusu umuhimu wa Data back up hapa 👇 umuhimu-data-back-up 🌟 Usisahau! 💬 Toa maoni yako hapo chini – comment ni muhimu sana! 👣 Bofya follow ili usipitwe na ma...