List ya Mitandao ya jamii maarufu

Tutambue mitandao ya jamii inayotumiwa na watu wengi.


orodha ya mitandao ya kijamii inayotumiwa na watu wengi 2025

kutoka chanzo source baadhi ya  mitandao hiyo ni kama ifuatayo👉

  • tiktok
  • whatsapp
  • facebook
  • instagram
  • we chat
  • youtube
  • snapchat
  • linkedin
  • douyin
  • telegram
Swali ?  je umewahi chukua mda kusoma sheria ya matumizi na usiri wa data

wengi huwa hawasomi na kuanza kutumia mitandaa hii bila kujua jimsi taarifa zinazokusanywa na kutumiwa hivyo wengi hujikuta wanatoa taarifa zao nyeti kwenye mitandao hiyo.

KUMBUKA : soma sheria ya kutumia mitandao hiyo na kujua wigo wa aina ya data kutuma kwa wengine na usalama wa taarifa zako unazoweka .

angalia jinsi ya kuweka usiri ukiwa unatumia mitandao ya kijamii 👉 bofya hapa

🌟 Usisahau!
💬 Toa maoni yako hapo chini – comment ni muhimu sana!
👣 Bofya follow ili usipitwe na makali yajayo
📲 Na shiriki (share) na wengine ili nao wafurahie kama wewe!

kwa msaada zaidi,
Email: ayubu0208@gmail.com




Comments